Ticker

6/recent/ticker-posts

Suluhisho la Masoko kwa Wakulima na Wafugaji

 Baada ya mavuno ,wakulima wengi wamekuwa wakihangaika na kusumbuka kuhusu masoko ya mazao yao,wengi wameteseka na kudondokea mikononi mwa madalali wasiokuwa na huruma ,wengi wamepata hasara kubwa ya kuharibikiwa na nafaka zao ,au kuuza nafaka na mazao yao kwa bei ya hasara 

Suluhisho limepatikana AGROOTTOMANS INTERNATIONA LTD ndio suluhisho lako ,Jifunze mambo mengi katika tovuti yetu ,jifunze njia za kisasa za uhifadhi wa nafaka,mbinu za kisasa za kilimo nk.

Jambo la kufurahisha zaidi  Tupo na wewe bega kwa bega kukuunganisha na wauzaji na wanunuaji wa mazao mbalimbali ya kilimo

Kama unasumbuka hujui ni wapi utapata soko kwa ajili ya Mazao yako wasiliana nasi leo

+255744207795

+255675131569

info@agroottomans.com

BOFYA HAPA kuwasiliana nasi whatsapp





Post a Comment

0 Comments