NI KUTOKUJUA TU POTENTIAL ILIYOPO HUKU KWA KILIMO
Lakini nadhani ni kukosa uthubutu sababu kuna vitu vingine vyenye umuhimu ambavyo hawajihusishi. Kilimo kama fursa nyingine kinahitaji uthubutu
Kutoka mwanza hapa ,vijana wengi wanajipenda hawataki kuumiza mwili
Lakini si kila kilimo kinaumiza mwili sikuizi kuna teknolojia ambayo inahusisha trekta kupanda, kupalilia hadi kuvuna.
Uvivu
5 Comments
NI KUTOKUJUA TU POTENTIAL ILIYOPO HUKU KWA KILIMO
ReplyDeleteLakini nadhani ni kukosa uthubutu sababu kuna vitu vingine vyenye umuhimu ambavyo hawajihusishi. Kilimo kama fursa nyingine kinahitaji uthubutu
DeleteKutoka mwanza hapa ,vijana wengi wanajipenda hawataki kuumiza mwili
ReplyDeleteLakini si kila kilimo kinaumiza mwili sikuizi kuna teknolojia ambayo inahusisha trekta kupanda, kupalilia hadi kuvuna.
DeleteUvivu
ReplyDelete