Ticker

6/recent/ticker-posts

Kwanini vijana wengi hawapendi kujiajiri katika kilimo?

 


Post a Comment

5 Comments

  1. NI KUTOKUJUA TU POTENTIAL ILIYOPO HUKU KWA KILIMO

    ReplyDelete
    Replies
    1. Lakini nadhani ni kukosa uthubutu sababu kuna vitu vingine vyenye umuhimu ambavyo hawajihusishi. Kilimo kama fursa nyingine kinahitaji uthubutu

      Delete
  2. Kutoka mwanza hapa ,vijana wengi wanajipenda hawataki kuumiza mwili

    ReplyDelete
    Replies
    1. Lakini si kila kilimo kinaumiza mwili sikuizi kuna teknolojia ambayo inahusisha trekta kupanda, kupalilia hadi kuvuna.

      Delete